Kutokana
na mtandao wa Tmz, juzi Soulja boy alitimuliwa ndani ya ndege (ambayo haikutajwa
jina) pale ambapo alikataa kushirikiana na wafanyakazi wa ndege hiyo.
Soulja
boy alikataa kukaa katika kiti chake alichokuwa anatakiwa kukaa pale alipoambiwa
afanyee hivyo ndipo mfanyakazi wa ndege hiyo ya marekani alipoita uongozi wenye
mamlaka ambao walifika na kumuondoa ndani ya ndege hiyo