Pages

Thursday, 15 August 2013

 

Kutokana na mtandao wa Tmz, juzi Soulja boy alitimuliwa ndani ya ndege (ambayo haikutajwa jina) pale ambapo alikataa kushirikiana na wafanyakazi wa ndege hiyo.
Soulja boy alikataa kukaa katika kiti chake alichokuwa anatakiwa kukaa pale alipoambiwa afanyee hivyo ndipo mfanyakazi wa ndege hiyo ya marekani alipoita uongozi wenye mamlaka ambao walifika na kumuondoa ndani ya ndege hiyo

No comments:

Post a Comment