Tunayo furaha kukutaarifu
ya kwamba, umechaguliwa kujiunga
na mafunzo Ualimu
wa Ujasiriamali. Mafunzo
kwa njia ya nadharia yataanza rasmi tarehe
14 Machi 2013
ambapo wanafunzi wote
watapatiwa vitabu vya
mafunzo ya nadharia
katika utaratibu ambao
utafahamishwa kwenu siku
ya tarehe 13
Machi 2013.
Inaendelea bofya read more hapa chini
Tafadhali fanya malipo
ya ada ya
mafunzo kwa kufuata
utaratibu ulio onyeshwa
katika fomu ya
maombi ya kujiunga
na mafunzo haya. Malipo
ya ada yafanyike
kabla ya tarehe
12 Machi 2013 na
yafanyike kupitia akaunti
yetu ya benki
kama inavyoonekana katika
fomu ya maombi
ya kujiunga na
mafunzo haya.
DJ Fetty
No comments:
Post a Comment